A Acha Maneno Member Joined Oct 6, 2018 Posts 36 Reaction score 46 Jun 26, 2024 #1 Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
gammaparticles JF-Expert Member Joined Jan 9, 2024 Posts 1,407 Reaction score 3,855 Jun 26, 2024 #2 VETA- kozi fupi ya umeme
Hassani JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 900 Reaction score 1,632 Jun 26, 2024 #3 Acha Maneno said: Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu. Click to expand... VETA
Acha Maneno said: Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu. Click to expand... VETA
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Jun 26, 2024 #4 Veta wezi tu nenda mtaa wa pili tafuta fundi sabufa huwa wanatengeneza Hadi pasi na redio muombe uwe msaidizi wake na mwambie mambo ya lunch utasimamia show halafu jifunze.Huko chuo ni kupoteza muda
Veta wezi tu nenda mtaa wa pili tafuta fundi sabufa huwa wanatengeneza Hadi pasi na redio muombe uwe msaidizi wake na mwambie mambo ya lunch utasimamia show halafu jifunze.Huko chuo ni kupoteza muda
A Acha Maneno Member Joined Oct 6, 2018 Posts 36 Reaction score 46 Nov 16, 2024 Thread starter #7 wanwan said: upo mkoa gani Click to expand... Nipo Dar-es-salaam Mkuu
W wanwan Member Joined Oct 2, 2023 Posts 36 Reaction score 17 Nov 16, 2024 #8 Kuna jamaa amenifundsha mimi ni fundi wa uhakika kiufupi amesomea ila shida ni kwamba huwa na kaa dsm na kurudi mtwara make mi npo mtwara
Kuna jamaa amenifundsha mimi ni fundi wa uhakika kiufupi amesomea ila shida ni kwamba huwa na kaa dsm na kurudi mtwara make mi npo mtwara
W wanwan Member Joined Oct 2, 2023 Posts 36 Reaction score 17 Nov 16, 2024 #9 una idea kiasi au ndiyo begginer? jama ana uunda amplifier,inverter ,na anatengeneza vifaa vyote vya umeme isipokuwa simu
una idea kiasi au ndiyo begginer? jama ana uunda amplifier,inverter ,na anatengeneza vifaa vyote vya umeme isipokuwa simu