S Song'ito JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 348 Reaction score 150 May 23, 2014 #1 Habari wna jamvi, kuna ndugu yangu anafanya kozi ya kushona na kudarizi, sasa anahitaji mashine inayoshona na kudarizi, naomba msaada wapi naweza kuinunua na inaweza kuwa shilingi ngapi!! Natanguliza shukrani..
Habari wna jamvi, kuna ndugu yangu anafanya kozi ya kushona na kudarizi, sasa anahitaji mashine inayoshona na kudarizi, naomba msaada wapi naweza kuinunua na inaweza kuwa shilingi ngapi!! Natanguliza shukrani..