Msaada: Wapi naweza kupata bidhaa hii kwa Dar es salaam

Dah
Kuna mzee alikuwaga nayo Morogoro anaitwa chaduma alikuwa mwalimu wa Jabal Hila Now Kashafariki, Utotoni Alikuwa Ananivuta Sana

Kama Ukikosa Na Unahitaji Sana Nichek Nikupe Namba Za Mjukuu Wake Akutafutie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kisichopatikana Duniani inategemea umetangaza tender kihasi gani.
 
Hakuna kitu kisichopatikana Duniani inategemea umetangaza tender kihasi gani.
Naamini kuna maduka huwa wana uza bidhaa za zamani (Zilipendwa).
Mfano: Kuna duka kariakoo wanauza simu za miaka ya nyuma sana, tena safi kabisa.
 
Naamini kuna maduka huwa wana uza bidhaa za zamani (Zilipendwa).
Mfano: Kuna duka kariakoo wanauza simu za miaka ya nyuma sana, tena safi kabisa.
Simu tofauti na kifaa kama hiko, Simu kitu chenye ID yakueleweka hiko labda Duka au mmachinga anayeuza Mavitvitu/mangorongonjo mfano wa kitu kama hiko pazo za rangirangi zile, vidori vya gozidilla, ma superheroes nk.
 
Ni nini hiyo mkuu.

yess BishOoo haSwaaaaaaaH[emoji111]
 
Simu tofauti na kifaa kama hiko, Simu kitu chenye ID yakueleweka hiko labda Duka au mmachinga anayeuza Mavitvitu/mangorongonjo mfano wa kitu kama hiko pazo za rangirangi zile, vidori vya gozidilla, ma superheroes nk.
True.
Nilitolea mfano tu, (maybe sio mfano sahihi).
 
Unakitaka kwa ajili ya nini katika dunia hii ya kidijitali? Watoto wa zamani tuliibiwa sana enzi hizo kwa kulipia ili kuoneshwa picha mbalimbali mnato na za kuvutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…