Habari za Leo
Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k
kwa ajili ya barber shop nipo DSM
Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia akipata pesa naomba kuwasilisha