Msaada: Wapi naweza kupata hii?

Msaada: Wapi naweza kupata hii?

siwacheusi

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
24
Reaction score
11
Habari wadau!

Naomba anayejua wapi naweza kupata zile pamba ila sio pamba halisi zinawekwa kwenye mito ya kulalia au ile mito midogo ya sebuleni.

Picha kwa uelewa zaidi
Screenshot_20220908-212148_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom