Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar.
Nasikia kuna kipimo unaingizwa mrija ambayo unakuwa na kamera na kufanya uchunguzi wa Tumbo hasa kunapokuwa na dalili ya vidonda vya tumbo.
Natanguliza shukrani.
Nasikia kuna kipimo unaingizwa mrija ambayo unakuwa na kamera na kufanya uchunguzi wa Tumbo hasa kunapokuwa na dalili ya vidonda vya tumbo.
Natanguliza shukrani.