Msaada - Wapi Naweza Kupata Kipimo Cha Uhakika Kwa Tatizo la Vidonda Vya Tumbo au Uchunguzi wa Tumbo

HAKUNA

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
133
Reaction score
66
Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar.

Nasikia kuna kipimo unaingizwa mrija ambayo unakuwa na kamera na kufanya uchunguzi wa Tumbo hasa kunapokuwa na dalili ya vidonda vya tumbo.

Natanguliza shukrani.
 
Hipimo hicho sio kizuri sana.Muhimbili wanapima vizuri.Kuna nja ya kunywesha uji fulani asubui kabla hujala chochote.Uji huo una ladha kama ya magnesium.Then baada ya robo saa unawekwa kwenye T-scan kwenye tumbo.Inaonesha vidonda vyote hata kami vipi kwenye utumbo.Ila cha kupitishwa mirija ni vigumu kupenya kwenye utumbo.Tafuta hii ya uji.
 

Nashukuru kwa taarifa@mkombozi, unaweza kufahamu gharama zake kwa muhimbili na kinapatikana kitego gani; muhimbili unaweza kwenda bila kupewa rufaa? Nitashukuru kama una taarifa zaidi.
 
Mkuu we ukiona una dalili za vidonda vya tumbo, ni- PM nitakupa namba ya Dr mmoja anaetibu vidonda vya tupo kwa bei ambayo mtu huwezi kuamini. Of course anasaidia watu according to him na hataki kabisa kujitangaza. anasema waliopona ndio matangazo yake.

Huyu jamaa kasoma sana china na sasa anafundisha chuo kikuu kimoja, dawa anauza 30,000 (unatumia dozi moja tu). Brother yangu alikuwa critical na alishatumia kila aina ya dawa hata hawa unaowaona kwenye TV leo wakijiita watalalamu lakini hakupona. Alipopata taarifa za huyu jamaa na bei yake, akagoma kununua, baada ya kushawishiwa sana akanunua na amepona kabisa sasa. Kama umeisikia ipo kama ile dawa ya macho na yenyewe unatumia kadrop kamoja kamoja nadhani kwa siku.
 
nashukuru kwa taarifa@mkombozi, unaweza kufahamu gharama zake kwa muhimbili na kinapatikana kitego gani; muhimbili unaweza kwenda bila kupewa rufaa? Nitashukuru kama una taarifa zaidi.
kipimo cha kuingiziwa kamera kwa njia ya mrija inatwa gastroscopic method!! Faida zake ni kubwa kuliko ct scan! Kwanza wadudu wa vidonda vya tumbo wako wengi kitaalam wata helicobaktaz, ambao dokta huweza kuwatambua kwa kuona sehemu iliyoliwa na hawa wadudu!

Sasa kwa kipimo hiki ndo njia sahihi maana kama dokta hataweza kuona sehemu iliyona vidonda then "guessing" will apply!!!

Mie niliwahi kutibiwa pale aicc hospital arusha na nikapona hadi leo, napiga ugali maharage, maziwa ya mgando na konyagi plus whisky bila shida.

Pole sana
 
nenda regency hospital kuna hicho kipimo cha mrija kuingizwa tumbon.ila siku hyo usile chakula chochote zaid ya maji kwa ajili ya kipimo kufanyika.
 
Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.

Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho, TUMBONI MWAKO HUZARISHWA haidrokloriki asidi ili kuuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujameza chakula. INAPUNGUZWAJE MAKALI? kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula. KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBO na hatimaye taratibu baadaye hukusababishia VIDONDA VYA TUMBO.

Jaribu hivyo ni bure tu kwa wiki 2 mfululizo kisha unipe feedback
 

Hicho kipimo kinaitwa ENDOSCOPY bei yake ni tsh.140,000 nenda pale burhani hosp. kwa Dr.Mushy mtaalamu wa magonjwa ya tumbo. mie nimefanyiwa two weeks ago. Ila unatakiwa usile siku nzima.
 

na mimi nisaidie namba ya huyo dokta 0685100909
 
Kwa kuwa sio Biashara anafanya Mkuu, nashindwa kuiweka namba yake hapa bila idhini yake, Tafadhali nimeku-PM
na mimi nisaidie namba ya huyo dokta 0685100909
 
Kinapatikana hospitali ipi nyingine mkuu,muhimbili si mpaka rufaa
 
We uko mkoa gani mwenyewe nimepima iko kipimo kinaitwa Endoscopy(OGD) kwenye hospital moja ipo makete inaitwa ikonda bei ni elfu 32 tu,unauona utumbo kabisa jinsi ulivyo lakin cha kushukuru sikukutwa na vidonda wala michubuko kwenye utumbo,lakini tatizo la gesi na miungulumo tumboni bado linaendelea maana walinipa vidonge vya kuondoa iyo gesi lakini naona avijanisaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…