Habari WanaJF!
Nahitaji link, muhusika (supplier), mkulima au mwenye kufahamu ninapoweza kupata kwa wingi KARAFUU, UFUTA, DENGU na PILIPILI MANGA.
Nina mnunuzi tayari mkononi. Naomba msaada tafadhali pa kuanzia na bei zilizo rafiki.
Naweza kufika popote kufata mzigo kwa gharama zangu lakini napatikana Arusha na Dar es Salaam.
Tunaweza kuwasiliana kupitia 0718080771 (Whatsapp & Calls)
Asante!