Nenda BOA BANK utapata mara mojaHabar zenu wakuu naomba kama kunamtu anaweza nisaidia wapi naweza pats mkopo haraka zaid. Mimi ni mtumishi. Au no bank gani haina mashart makubwa?
Nenda BOA BANK utapata mara moja
Nenda Bayport ukijaza fomu asubuhi jioni unachukua kwa maelezo ni pm nikuagizie wa kumuonaHabar zenu wakuu naomba kama kunamtu anaweza nisaidia wapi naweza pats mkopo haraka zaid. Mimi ni mtumishi. Au no bank gani haina mashart makubwa?
Nenda Bayport ukijaza fomu asubuhi jioni unachukua kwa maelezo ni pm nikuagizie wa kumuona
Mkuu huko kuwa makini sana, narudia sana na huko unakotaka kwenda. Narudia KUWA MAKINI SANA na huko unapotaka kwenda usije rudi hapa ukilia.Nimeshaku pm..mbona kimya?
Kwani hili ni jukwaa lipiMagufuli kiboko bana,umekosea njia nenda kwenye jukwa la biashara
Usithubutu kwenda Bayport hata kama unashida mpaka hujui cha kufanya, Nenda Bank.Nenda Bayport ukijaza fomu asubuhi jioni unachukua kwa maelezo ni pm nikuagizie wa kumuona
Usithubutu kwenda Bayport, kama unapenda maisha yako. Usiende BayportNimeshaku pm..mbona kimya?
Hawa Bayport riba yao ipojeNenda Bayport ukijaza fomu asubuhi jioni unachukua kwa maelezo ni pm nikuagizie wa kumuona
Nakushauri USIENDE bayportNimeshaku pm..mbona kimya?
mkuu bayport kuna nin mbona msisitizo n mkubwa?Nakushauri USIENDE bayport
Unapaswa kuwaogopa sana hao Bayport utajuta maisha yako yote... Makato yao hayaishagi [emoji125]Nimeshaku pm..mbona kimya?