ALF
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 207
- 137
habari zenu wana jamvi. Naombeni msaada wenu kwa mara nyingine, 1. Ninahitaji sana simtank kwanzia ltr 4000 na 5000 kwa bei poa au sehemu yanayopatikana used.
2. Je ni maduka gani naweza kupata pump ya kisim ya HP 2 na vifaa vingine kwa hapa dar but sio za kichina.
Nitashukuru nitakapopata msaada.
2. Je ni maduka gani naweza kupata pump ya kisim ya HP 2 na vifaa vingine kwa hapa dar but sio za kichina.
Nitashukuru nitakapopata msaada.