Msaada: Wapi naweza kusoma Kozi ya Kiingereza kwa kiwango cha kati na kuendelea hasa kwa mtu aliyepo kazini?

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Wakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini?

Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini nikicheck kwenye website yako siku hizi sioni tena sijui wamesitisha, na vipi huyu Ras Simba ni wa kutegemea au longolongo tu?

Kindly advise.

NB: Sio lazima utoe povu kama hujui pita tu kistaarabu.

WADAU NIPENI BASI MBADALA WA BRITISH COUNCIL KABLA SIJALA HELA? WAO HAWAFUNDISHI TENA SIKU HIZI WANASEMA NIKASOME ONLINE MWENYEWE KWENYE SITE YAO
 
Mwone rasi Simba wiki Tu unaongea na trump tena Kwa jeuri kama ulizaliwa mbele
 
Ungekwenda kwanza kwenye ofisi zao hao British Council kujiridhisha kama bado wanatoa course hizo. Mwingine anaitwa teacher Allen anadai ndiye kawafundisha akina Diamond, Alikiba na wengineo
 
Huyo itakuwa gharama sana
 
Wakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini?

Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini nikicheck kwenye website yako siku hizi sioni tena sijui wamesitisha, na vipi huyu Ras Simba ni wa kutegemea au longolongo tu?

Kindly advise.

NB: Sio lazima utoe povu kama hujui pita tu kistaarabu.
Come nikupe number ya someone hutojutaaa...
 
JF tumekubaliana kuwatoa watoto shule za "medium" na elimu Haina maana kikubwa pesa.

Sasa inakuwaje unasaka ticha wa kimalikia Eliza?

Eniwei
 
Wakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini?

Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini nikicheck kwenye website yako siku hizi sioni tena sijui wamesitisha, na vipi huyu Ras Simba ni wa kutegemea au longolongo tu?

Kindly advise.

NB: Sio lazima utoe povu kama hujui pita tu kistaarabu.
Ukipata na Mimi nijuze nataka pia
 
Embu wafuatulie British Council.Nilisoma pale japo gharama lakini wako vizuri wanajua uanze level gani baada ya kukupa mtihani
 
Njoo buguruni makapa tunafundisha kwa garama nafuu sana na una master lugha faster labda kichwa kiwe kigumu
 
Back
Top Bottom