sana sana kuongea fluentlyUnataka kujifunza
1. Kuandika na kusoma
2. Kusikiliza na kuongea?
Huyo itakuwa gharama sanaUngekwenda kwanza kwenye ofisi zao hao British Council kujiridhisha kama bado wanatoa course hizo. Mwingine anaitwa teacher Allen anadai ndiye kawafundisha akina Diamond, Alikiba na wengineo
Uhakika?Mwone rasi Simba wiki Tu unaongea na trump tena Kwa jeuri kama ulizaliwa mbele
sana sana kuongea fluently
Come nikupe number ya someone hutojutaaa...Wakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini?
Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini nikicheck kwenye website yako siku hizi sioni tena sijui wamesitisha, na vipi huyu Ras Simba ni wa kutegemea au longolongo tu?
Kindly advise.
NB: Sio lazima utoe povu kama hujui pita tu kistaarabu.
Poa poaCome nikupe number ya someone hutojutaaa...
hahahaha duhJF tumekubaliana kuwatoa watoto shule za "medium" na elimu Haina maana kikubwa pesa.
Sasa inakuwaje unasaka ticha wa kimalikia Eliza?
Eniwei
Ukipata na Mimi nijuze nataka piaWakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini?
Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini nikicheck kwenye website yako siku hizi sioni tena sijui wamesitisha, na vipi huyu Ras Simba ni wa kutegemea au longolongo tu?
Kindly advise.
NB: Sio lazima utoe povu kama hujui pita tu kistaarabu.
Sawa, shukraniNjoo buguruni makapa tunafundisha kwa garama nafuu sana na una master lugha faster labda kichwa kiwe kigumu