Wakuu habari moja kwa moja kwenye mada. Nasumbuliwa sana anaphylaxis shock nkiumwa na wadudu kama nyuki na majigu na shughuli zangu mara nyingi nazifanya maporini kukutana na wadudu tajwa ni pie.
Katika kufuatilia tatizo langu nlishauriwa ntafute injection pen ntembee nayo hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu wapi naweza ipata na bei yake ikoje anisaidie mawazo