fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,850
- 2,979
Sawa chief ntaenda hio mitaa.Barabara ya 6 pale kachek ukikosa nenda pale kona ya double M au pale karibu na mgahawa wa chief asili naamini utapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k
Asante chief kwa kunipa mwanzo mzuri.External HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k
Bei Hiyo Umetaja Ndogo, Dodoma Mpaka Sasa Hivi Vitu Vipo Juu SanaExternal HDD Case,Ni kati ya 15-25k sema kwa Dodoma vitu bei wanaweza kukuzia 25-35k