Msaada wapi naweza pata tablet nzuri kwa Dar es Salaam


hapo nimeelewa
 

mkuu wapi wanauza amazon fire hd 10 kwa usd 80!??
 
Mkuu Chief-Mkwawa, kuna hizi Tablets nimeziona kwenye mtandao, zipo sana Saudi Aarabia, Indonesia, Dubai na India kidogo.
Zinaitwa S-COLOR, wana versions tofauti kama U100, U300, U500, etc, Android 7.1, 10.1 inch display, 4GB/64GB, 4G LTE+WiFi, Double line, triple camera and other features.
Lkn kwenye specs zake hazioneshi kama inatumia SD, MTK au nyinginezo.
Naomba kujua;
Kama upo familiar na hii brand,
Strenghs na weaknesses za hizi tabs,
Kama hii Android version inaweza kuwa upgraded to later versions.

NB: Wanasema ni chinese products lkn zinapatiakana zaidi Dubai.
 
Ni kama Tecno tu mkuu na hawaandiki specs kote, Ram na storage hazina maana kama zipo slow na Cpu ipo slow, wameandika tu quad-core hujui kama ni cortex A7 ama A53, na hakuna reviews za watu wala ushahidi mwengine.

Angalau ungekua Una mtu anayo unamfahamu Arun Cpu z tujue specs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…