Ninahitaji spare part - housing ya redio ya Carina SI. Je, huwa zinapatikana kwenye maduka ya spare parts? Bei yake?
Naambatanisha na picha ya sehemu husika hapo chini.