E enhance JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 449 Reaction score 176 Jul 22, 2014 #1 Wadau hbr za muda huu? naomba kujuzwa taratibu za kusoma "QT" na sehemu gani nzuri mtu anaweza kuipata elimu hii!! kwa Dar es salaam Kwa kipindi hiki mtu anaweza kujiunga na kufanya mtihani wa national? (form two). Natanguliza shukrani!!!
Wadau hbr za muda huu? naomba kujuzwa taratibu za kusoma "QT" na sehemu gani nzuri mtu anaweza kuipata elimu hii!! kwa Dar es salaam Kwa kipindi hiki mtu anaweza kujiunga na kufanya mtihani wa national? (form two). Natanguliza shukrani!!!