Msaada: Wapi nitafanya wheel alignment kwa uhakika?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Wakuu hii gari nimeenda nayo mkoani, muda wa kurudi ikaanza kuvuta upande wa kushoto.

Last week kuna garage nilipeleka nikakutana na fundi mbabaishaji sijapata ona, kifupi ni kwamba tatizo halijaisha.

Naomben mnielekeze nipeleke wapi ambako kuna mafundi wa uhakika.

NB: Nipo Dar na aina ya gari ni Subaru Impreza!
 
Kama uko Dar nenda Temesa Mt.Depot utakutana na kijana anaitwa Mgosi. Namfanyia promo tu sina ubia naye. Aliwahi kunifanyia ikawa poa sana

Shukran mkuu, vipi una namba yake?
 
Kama uko mitaa ya Tegeta nikuelekeze garage ya kisasa napofanyia mimi service zangu
 
Kama uko mitaa ya Tegeta nikuelekeze garage ya kisasa napofanyia mimi service zangu

Kaka una maoni gani kuhusu passo ya piston 3 au piston 4. Gari gani hapo inafaa kwa mizunguko ya hapa mjini
 
Nenda The Wheel.

Wapo Mikocheni na Kawe.
 
Kabla hujafika hapo Victoria ukiwa unaenda Morroco kuna sheli ya oil com mkono wa kushoto hapo utapata hiyo huduma bila shida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…