tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Kwa anayefahamu naomba anijuze, kwani nategemea kufungua biashara huko mkoani siku chache zijazo. Ikiwa unahusika na hiyo biashara nitafute kwa 0719193149
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu, nahitaji pia hzo empty. Lakini uhitaji mkubwa ni cd/dvd za picha, kuhusu cd nahitaji za kibongo.Kama Empty DV,CD za jumla nenda pale kongo kariakoo Sunrise,au pale polis Msimbazi opposite kama unaelekea shimoni sokoni kuna duka linaitwa city Computer! Hayo ndo maduka yenye bei nzuri
Kwa anayefahamu naomba anijuze, kwani nategemea kufungua biashara huko mkoani siku chache zijazo. Ikiwa unahusika na hiyo biashara nitafute kwa 0719193149
nahitaji recorded1:Mkuu, Je unata CD/DVD HAZIJAWA RECORDED AU UANATAKA AMBAZO ZIKO RECORDED?.PAMOJA NA HAYO NITAKUJIBU KWA PAMOJA KM IFUATAVYO; DVD-R/DVD+R EMPT (PRINTABLE & NON PRINTABLE) BEI YAKE NI TSH 290@ PC, HII NI BEI YA JUMLA.CD-R EMPT (PRINTABLE & NON PRINTABLE) BEI YAKE NI TSH 200@PC, HIINI BEI YA JUMLAKWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0762490080KARIBU
nashukuru, nitamchekiWasiliana na jamaa yangu yuko kariakoo anaitwa Macheye anauza bidhaa hizo kwa jumla simu yake 0762490080