Msaada: Wapi nitapata fundi wa kuunga hii Rim?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu salama?

Juzi nilipata crush ikapelekea rim kuvunjika na tairi kubast, ila nikasikia kuna wataalam wanaunga rim inakaa vzr tu.

Swali langu ni kwamba Je? Ikiungwa inafit vizuri kabisa?? Hakuna shida itakayotokea mbeleni?

IMG_4895.jpg

IMG_4891.jpg
 
Hata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.

Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
 
Shukran mkuu,
 
Hiyo risk unayotaka kuifanya ni kubwa kuliko thamani ya maisha yako. Bora upambane ununue nyingine. Ukishaunga inakua na weak point na waza unasafiri uko speed mia inapasuka hapo kwenye weak point….
Ni mtazamo tuu
 
Alloy rims zinaungika vizuri kabisa ila tu haishauriwi ufunge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.

Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Hii kauli nimeichukua na naomba mabaharia muichukue na kuizingatia

" Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana."
 
Hata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.

Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama
 
Wakuu salama?

Juzi nilipata crush ikapelekea rim kuvunjika na tairi kubast, ila nikasikia kuna wataalam wanaunga rim inakaa vzr tu.

Swali langu ni kwamba Je? Ikiungwa inafit vizuri kabisa?? Hakuna shida itakayotokea mbeleni?

Inategemea ni madini gani yametumika hapo kuna nyingine hazichomeleki kama madini ya zinki hiyo katupe.
Kama uko daslamu peleka tabata dampo ulizia kwa babu kidevu ni mtaalaum niliwahi peleka hapo block kujazia .
Au kule wanakoyeyusha unaunda rim nyingine
 
Hata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.

Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Ukifika mataa ya faya ukiingia kulia kama unatoka magomeni ule mtaa rim ziko kibao hadi laki 2 hiyo unapata fasta
 
Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama
Masimango sasa haya
 
Acha ku Bet kwenye maisha mkui nunua rim. PERIOD
 
Back
Top Bottom