Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.
Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Alloy rims zinaungika vizuri kabisa ila tu haishauriwi ufunge mbeleHiyo risk unayotaka kuifanya ni kubwa kuliko thamani ya maisha yako. Bora upambane ununue nyingine. Ukishaunga inakua na weak point na waza unasafiri uko speed mia inapasuka hapo kwenye weak point….
Ni mtazamo tuu
Hii kauli nimeichukua na naomba mabaharia muichukue na kuizingatiaHata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.
Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharamaHata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.
Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Inategemea ni madini gani yametumika hapo kuna nyingine hazichomeleki kama madini ya zinki hiyo katupe.Wakuu salama?
Juzi nilipata crush ikapelekea rim kuvunjika na tairi kubast, ila nikasikia kuna wataalam wanaunga rim inakaa vzr tu.
Swali langu ni kwamba Je? Ikiungwa inafit vizuri kabisa?? Hakuna shida itakayotokea mbeleni?
Ukifika mataa ya faya ukiingia kulia kama unatoka magomeni ule mtaa rim ziko kibao hadi laki 2 hiyo unapata fastaHata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.
Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Mkononi laki unusu unapata ila dukani hiyo 350 hadi 320 unapata kama utanunua seti nzimaMkuu kwani zinauzwa bei gani?
Au ulinunua gari second hand na ilikuwa imefanyiwa decoration ?
Masimango sasa hayaHapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama
Thread ya pili hii naona mtu anaulizia camera iliotumika.Mkuu mi niko nje ya mada naomba kujua simu iliyopiga hiyo picha, samahani lakini,
Kampuni na model please.
Ngumu kupata ya kufananaNunua rim nyingine.