Msaada: Wapi nitapata kitimoto iliyorostiwa vizuri Mwanza

Msaada: Wapi nitapata kitimoto iliyorostiwa vizuri Mwanza

Dah... Uko mwanza sehemu gani maana sehemu ziko nyingi.
 
Wasalaam,

Naomba kusaidiwa ni wapi naweza pata kitimoto iliyorostiwa vizuri kwa Mwanza?
Kweli JF sasa imebadilika, yaani unaanzisha uzi kuuliza sehemu unaeza pata Kitimoto, u cant be serious hebu tuipe heshima JF ya kina Faiza Foxy, Paka Jimmy, Malaria Sugu etc... simple fanya hv ita ita boda mwuulize atakuzungusha kote kwenye hy issue
 
Usinipangie cha kuzungumza
Hapa ni "when we dare to talk openly"

Maadam sijakutukana utulie
 
Kuna srhrm igoma nlipaelewa sana, inwekwe kwenye jiko tokea asubuh inavuja mafuta yote, ngozi yake inakuwa imekauka, nyama yake lainiiiiiiii
 
Back
Top Bottom