Nashauri uende mbeya. Utapata the best!Wasalaam
Naomba kusaidiwa ni wapi naweza pata kitimoto iliyorostiwa vizuri kwa mwanza?
Njoo Mecco ulizia kwa Abdallah MarostiWasalaam,
Naomba kusaidiwa ni wapi naweza pata kitimoto iliyorostiwa vizuri kwa Mwanza?
yeahHot chair
Kweli JF sasa imebadilika, yaani unaanzisha uzi kuuliza sehemu unaeza pata Kitimoto, u cant be serious hebu tuipe heshima JF ya kina Faiza Foxy, Paka Jimmy, Malaria Sugu etc... simple fanya hv ita ita boda mwuulize atakuzungusha kote kwenye hy issueWasalaam,
Naomba kusaidiwa ni wapi naweza pata kitimoto iliyorostiwa vizuri kwa Mwanza?
haahaaKweli JF sasa imebadilika, yaani unaanzisha uzi kuuliza sehemu unaeza pata Kitimoto, u cant be serious hebu tuipe heshima JF ya kina Faiza Foxy, Paka Jimmy Malaria Sugu etc...
Kweli JF sasa imebadilika, yaani unaanzisha uzi kuuliza sehemu unaeza pata Kitimoto, u cant be serious hebu tuipe heshima JF ya kina Faiza Foxy, Paka Jimmy, Malaria Sugu etc... simple fanya hv ita ita boda mwuulize atakuzungusha kote kwenye hy issue
TakbiiirCapri point pale utamkuta man anaitwa vice na al qaeda
Mkuu, jina lako limenifanya nicheke kwa sauti kuuhaahaa