Kama hiiHabari zenu wakuu!!.
Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50.
Nipo geita mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli hiki ni kikapu, sio kofia
Nilipita na treni pale Saranda Singida.Habari zenu wakuu!!.
Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50.
Nipo geita mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo chenga sanaπππππππ