Msaada wapi nitapata pumba za mpunga Dar es salaam.

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
Wakuu naombeni msaada wenu wapi nitapata pumba za mpunga kwa wingi hapa dar. Tafadhali kama unafahamu na gharama zake utakuwa umenisaidia sana. Asanteni
 
Pumba kwa kawaida inapatikana mashine za kukoboa mpunga na hizi sana zipo mikoani mfano morogoro mjini. Wafanya biashara wanakoboa mpunga mikowani na kusafirisha mchele Dar kwa hivo upatikanaji wa pumba Dar utakuwa mdogo. Haya mawazo yangu tu,
 
zinatumika kwenye nini?
 
Nataka kwa ajili ya kuchomea tofali ambazo nitazitengeneza kwa kutumia clay soil. Shambani kwangu nimepata bahati ya kuwa na vichuguu vikubwa viwili, so sioni haja ya kuhangaika na cement zilizo ghali kutengeneza tofali za cement.
Red clay bricks ni imara na zinapendeza sana, hudumu hadi kwa 50 yrs.
zinatumika kwenye nini?
<br />
<br />
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…