Msaada: wapi nitapata ufadhili wa kuchapa kitabu?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Wadau naomba msaada wenu jins ya kuweza kuchapa kitabu ambacho ni msaada mkubwa kwa O'level. Kipo hatua za mwisho, lakini tatizo nililonalo ni pesa ya uchapishaji. Mwenye namna yeyote ya kunifanya nifanikiwe katika hili anitafute kwa 0719193149
 
Kitabu cha somo gani mkuu? Mtafute Nyambari Nyangwine nadhani anaweza kukusaidia.

Back
Top Bottom