Asante sana nina operation mbili tayari nilifanyiwa local hospital zimenipa majeraha ambayo yanatisha kwa kweli.ndo maana kwa sasa nimeamua kujipanga kwa vyovyote nipate operation ambayo haitaniachia alama nasikia tu kuwa utaalam huo upo nchini kwa baadhi ya hospitalNi hospitali zote tu ni kuwaambia unavotaka watafanya
Asante kwa kuchangia siwezi mpangia docta ila nimeuliza kama utaalamu wa kupunguza ukubwa wa kovu inawezekana.asante kwa kuchangia piaUnawapangia ma doctor? btw nenda mfuate mmeo akufanyie operation
Ok asante kwa ushauri.barikiwanop ni zote unawaambia kamabninpesa unaongeza kiasi kidgo
Barikiwa ndugu yangu.nitakwenda kuwaonaNenda kairuki au Aghakhani waambie nahitaji laparascopic surgery
ndugu yangu niandae kama kiasi gani nipo tayari kwa kweli.nashukuru sanaAga khan, ILA JIANDAE MAPESA
asante ndugu yangu kwa ushauri wako.barikiwaHospital zote madactor wanaweza ila unatakiwa uongeze pesa wakutafutie nyuzi zilizo standard mkuu.....
Unatika na kovu kama msitar wa kiwembe tu ...after few days unafutika kuna dawa utakuwa unapaka..