Ruhazwe JR JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 3,402 Reaction score 925 Sep 24, 2012 #1 Pamoja na kuwa na fani nyingine,natamani kujifunza namna ya kutengeneza photocopy machine ipatapo matatizo,pamoja na printer.naomba kujuzwa kama kunasehemu wanafundisha mantainance za hiv vitu
Pamoja na kuwa na fani nyingine,natamani kujifunza namna ya kutengeneza photocopy machine ipatapo matatizo,pamoja na printer.naomba kujuzwa kama kunasehemu wanafundisha mantainance za hiv vitu
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Sep 24, 2012 #2 Kozi inatolewa veta,fuatilia upewe fomu kuna kozi nyingi ikiwemo hiyo.
Ruhazwe JR JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 3,402 Reaction score 925 Sep 24, 2012 Thread starter #3 Vodka said: Kozi inatolewa veta,fuatilia upewe fomu kuna kozi nyingi ikiwemo hiyo. Click to expand... nashukuru mkuu kwan hata mie niliitaji kufahamu ili pia
Vodka said: Kozi inatolewa veta,fuatilia upewe fomu kuna kozi nyingi ikiwemo hiyo. Click to expand... nashukuru mkuu kwan hata mie niliitaji kufahamu ili pia