Msaada wapi ntapata tution ya mtoto wa drs la tatu magomeni dar

Msaada wapi ntapata tution ya mtoto wa drs la tatu magomeni dar

viane

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
79
Reaction score
19
Kuna mtoto wa ndugu yangu kaja likizo kunitembelea niko magomeni mwembechai naomba kwa anayefahamu sehemu ya kufundisha tution anijuze maeneo ya magomeni
 
Hivi wewe mwenyewe huwez kumfundisha huyo mtoto mkuu?
 
mkuu mpeleke hapo nyuma ya office za tlp magomeni usalama. zipo sehemu kibao tu au hapo manzese maeneo ya kwa bakhresa. Mia
 
Back
Top Bottom