Msaada. Wapi pakulipa kodi ya ardhi wilaya ya ilala?

Msaada. Wapi pakulipa kodi ya ardhi wilaya ya ilala?

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
1,001
Reaction score
103
HAbari zenu wakuu....
nahitaji msaada. je ni sehemu gani kodi ya ardhi inapolipiwa kwa wilaya ya ilala? na je kwa sasa hv ni kiasi gani hiyo kodi kwa ajili ya nyumba ya makazi. na nyumba ya makazi na biashara??

natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom