Zasasule JF-Expert Member Joined Aug 12, 2009 Posts 1,001 Reaction score 103 Oct 28, 2012 #1 HAbari zenu wakuu.... nahitaji msaada. je ni sehemu gani kodi ya ardhi inapolipiwa kwa wilaya ya ilala? na je kwa sasa hv ni kiasi gani hiyo kodi kwa ajili ya nyumba ya makazi. na nyumba ya makazi na biashara?? natanguliza shukran
HAbari zenu wakuu.... nahitaji msaada. je ni sehemu gani kodi ya ardhi inapolipiwa kwa wilaya ya ilala? na je kwa sasa hv ni kiasi gani hiyo kodi kwa ajili ya nyumba ya makazi. na nyumba ya makazi na biashara?? natanguliza shukran