Msaada: Wapi vilipo vyuo vya biashara hapa dar?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Habari wana jf, nahitaji kujua vyuo vya biashara mbali na vile vinavyojulikana sana kama cbe, ukiniAMBIA jina la chuo na mahali kilipo utakuwa umenisaidia sana
 
Pole sana tindikali, hivi vyuo vingi havijasajiliwa ndo maana havijitangazi, arusha vipo vingi lakini ni vya levo ya kata.
 
Back
Top Bottom