M MTOTO KITAA JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 245 Reaction score 115 Apr 14, 2017 #1 wakuuu habari,naomba msaada wa kuelekezwa wapi wanaburn CD ambazo zinzlakuwa na cover lake juu ya CD, pia nifahamu ni shilingi ngapi kwa CD moja, na wanauwezo wa kubarn CD ngapi kwa siku, msaada wadau
wakuuu habari,naomba msaada wa kuelekezwa wapi wanaburn CD ambazo zinzlakuwa na cover lake juu ya CD, pia nifahamu ni shilingi ngapi kwa CD moja, na wanauwezo wa kubarn CD ngapi kwa siku, msaada wadau
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,195 Reaction score 4,013 Apr 14, 2017 #2 Mkuu Njoo nikuuzie mashine ina burn CD nane kwa wakati mmoja kwa bei nafuu kabisa. na ya kuprint pia ntakuelekeza ni cheap sana
Mkuu Njoo nikuuzie mashine ina burn CD nane kwa wakati mmoja kwa bei nafuu kabisa. na ya kuprint pia ntakuelekeza ni cheap sana