FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Jaribu kukumbuka aiseeKuna mtu humu JF alikuwa anauza hivyo vitu nimemsahau jina
Ngoja nijaribu kuwa-search, thanksMikocheni Kuna Duka Linauza Vifaa Vya Madhabahuni
Sina Hakika Nadhani Soma Biblia
Daaah. Kesho itabidi niende tu kanisani bila kupenda, nikaulize wananunuliaga wapi hivi vitukile ki-Rozali kama cha Milad Ayo nimeshazunguka sana, aisee sijakipata.
Sawa, nitacheki , shukranUngejitahidi ikaenda Msimbazi s
Center au At Joseph posta kanisa katoriki