Msaada wapi wanaweza kunyoosha body ya gari na upakaji rangi vizuri

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
Habari zenu wana janvi.

Kuna ishu imenipata ninataka ku repair gari yangu katika kupaka rangi na kunyoosha body ikae sawa, irudi mpya( gari yangu ni Toyota Verrosa, silver) ni sehemu ndogo ndogo sana, ninazo repair na kunyoosha haipo vibaya sana.

Wapi naweza kupata sehemu nzuri na standard ya kufanya hizo kazi mbili, isiwe wale wa uchocholoni wa kupuliza na kuweka magazeti kienyeji!

Naomba mnijuze sehemu nzuri na pia yenye bei rafiki! mimi ninaishi Dar es salaam.

asante!
 
Kama ni mdau wa Instagram jaribu kucheck na page inaitwa ommypainter jamaa naona anafanya kazi nzuri ukivutiwa naye all the best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0718346486 fundi Rangi wa kimataifa

Anaitwa Elf tano. Yupo Mwananyamala.

Hutojuta kumtumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…