Msema yote
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 448
- 299
- Thread starter
-
- #21
kulingana na hali ya mchumba wako nilitegemea swali lako liwe ni umbo gani si sahihi kubeba mimba,kutokana na maelezo na hali ya mchumba wako ni sahihi kubeba mimba kwa umri alionao,shida inakuja kuwa...
....kama ni mfupi sana inakuwa vigumu kuzaa kwa njia ya kawaida inaaminika kuwa wanawake wafupi sana chini ya cm 150 na size ya kiatu 2 kwenda chini, nyonga zao mara nyingi zinakuwa ndogo japo si wooooote kabisa,kwa hivyo kichwa cha mtoto kupita kwenye nyonga inakuwa vigumu kitaalamu tunaita CPD(cephalo pelvic disproportion) kunakuwa hakuna uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama.Huenda ndo maana wakakwambia hivyo.
.....kwamba akiwaza sana atapata kifafa cha mimba hii ni kutokana tu kwamba kama atawaza sana anaweza kupata presha ya kupata,prsha inapokuwa inapanda wakati wa uja uzito ni dalili za kupata kifafa cha mimba kama presha isipodhibitiwa.
.....kwamba ni sahihi kuitoa mimba siyo sahihi sababu kama aktashindwa kujifungua kawaida atafanyiwa operation,ni jambo la kawaida tu,huhitaji kumpoteza kiumbe huyo.
.........kutapika ni mabadiliko ya hormone lakini baadaye inaweza tulia kadri mimba inavyokua au kutumia dawa za kuzuia kutapika.
Shukrani sana mkuu