Msaada wataalam napata wapi hii spare? Inanitesa

Mkuu umeshindwa kunyoosha maelezo yako sijui upo mkoa gani Ila kama upo DAR utapata hiyo injection pump kwasababu mitsubishi pajero hapa Tanzania IPO Miaka mingi Sana....mbona ishu ndogo hiyo hata kama utakosa kabisa unaweza kuagiza online na unapata baada ya wiki 3 Hadi 4
 
Fuel Injection Pump For Mitsubishi
Pajero 4M40-Te Me202411/104701-
Nenda Ilala oposit na machinga complex mtaa Lindi na Newala kipande uliza wanapouza spare used za mitsubish kuna mpemba hapo anashusha used za dubai hutoikosa na ukikosa atakusaidia kutafuta kwa wauzaji wenzie hapo Lindi na alharamain hamna spea ya kijapan utaikosa labda ushindwane bei bro
 
Aende hapo ila kuna zingine watazifanyia modification manually. Hizo mitsubishi sio kabisa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Amna spea ya gar ukaikosa Dar sema mfumo wa wauzaji wengi ni wa kizamani hawapublish online biashara zao na wanaopost hawaspecfy vizuri mie nmeuza spea 5yrs najua nmeacha kama 2yrs tu na hizo kunjunga wapo wanaonjunga na ukienda dukani kwake unajua tu zinakua na udongo au rang ya wekundu udongo na vumbi ya tz hasa chuma used ya dubai ni saf chuma kinawaka kama kioo ya tz ht uoshe na petrol stil aing'ai km used ya Dubai kule wana import used car from Japan afu wanachinja so unakut spea mpya
 
4m40 ni engine very common, huyu Jamaa yupo CCM eneo flani sinza Ana deal sana na MA pajero, mtu mzima muungwana sana na mstaarab, talk to him or Pale Ilala zimejaa hizo spare.

Mawasiliano yake mkuu
 
Umeongea point kubwa sana, ni muda sahihi wa kuanza kuhama waoni wakina jerry wana publis sana online!!! Wabadilike
 
Tukisemaga gari ni Toyota tu nchini Tzed huwa mnatuonaga mafala sana. Haya komaa utafute hio kitu, mie Tandale tu nakamata chochote nachotaka. Sina haja hata ya kufika Ilala.
Mkuu nina swali nje ya mada, rav 4 massawe milango mitatu yenye 3s kutembea 8km/l ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…