Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Ndugu yang kila akipata ujauzito ya kwanza miezi 3 tumbo linamuuma anablid alafu ndo mimba inaisha hivyo, Ya pili nayo hivyo hivyo kapata mimba ghafla tumbo linamuuma anablid hospital walipima lkn wakasema mimba ipo salama cha ajab kila akianza kublid dalili zile za ujauzito zinaisha. Mwisho mimba inakuwa imetoka hivyo.
1:Alikwenda hospital akapewa dephastone na sulbotam
2: Akaenda kwa Dr kabanda akampa P-GLITZ (30) akamwambia mimba imeshatoka atumie ndani ya siku 30 na vipimo vinaonuesha yupo safi
3:Wataalam nn tatizo kwa huyu dada
Asante