Heshima kwenu waKUU.
Kuna rafiki yangu Mtt wake ana Mwaka 1 anatapika wakati mwingine Anaharisha pia ana JOTO KALI amepimwa Maralia U T I lkn hakuna kitu na Mtt anaendelea kuumwa kiukweli amechanganyikiwa hajui ni Kitu gani kinamsumbue Mwanae Aliponishirikisha nimeona nije kwenu kwaajilia ya Ushauri wakitaalam
Natanguliza SHUKRANI