Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Habari zenu wataalam km mlivyosoma heading maisha magumu tumejiajili online naomba msaada account ya fb iwe na followers tu iache friend requests maana nimebadilisha kuwa followers lakini maombi ya friends nimengi na nikiwakubali inakataa ishazidi 7000 nifanyaje iwe na option Moja TU ya followers.