msaada; wataalam wa kuagiza magari trade car view

msaada; wataalam wa kuagiza magari trade car view

young prof

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
37
Reaction score
11
Wasalaam
naombeni uzoefu kidogo kama cif imeanzia usd 4300 kuna uwezekano wa kubagain nae mpaka ngapi?kama ni gari ya mwaka 97 (rav 4 ile ya zamani),cc 1980 mileage km 80000 mpaka inatembea barabarani hapa bongo niandae kama shs ngapi?
kampuni ni real motor japan
 
Back
Top Bottom