PastorA JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 361 Reaction score 275 Jan 21, 2017 #1 Habari za mchana Doctors and Professionals... Katika shughuli zangu za kuwashauri watu nimepokea majibu haya ya mtu aliye tokea kupima Nguvu za kiume yaani SEMEN EXAMINATIONS.. naomba msaada wa ufafanuzi wa majibu haya ili nijue cha kumshauri pia. Naomba kuwasilisha kwenu wataalam.
Habari za mchana Doctors and Professionals... Katika shughuli zangu za kuwashauri watu nimepokea majibu haya ya mtu aliye tokea kupima Nguvu za kiume yaani SEMEN EXAMINATIONS.. naomba msaada wa ufafanuzi wa majibu haya ili nijue cha kumshauri pia. Naomba kuwasilisha kwenu wataalam.