Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Wife ni mama kijacho wa miezi takriban mitatu sasa tumehesabu kuanzia period yake ya mwisho yaani alipoanza tarehe 18 /9/2018 mpk sasa. Hii ni mimba yake ya kwanza, ameenda leo zahanati flan kufanya ultrasound wamemuambia kuwa kanaonekana kwa mbali mno na wakamuuliza hujawahi kutoka damu?? Wakimaanisha pengine ilitoka, hvyo aende baada ya wiki mbili ikiwa hvyo hvyo waitoe, jee hii ni kawaida?? Au wanataka kumpiga ka elfu 20 kake ka kufanya tena ultrasound?? Wataalam nisaidieni.