Msaada wataalam.

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
3,613
Reaction score
5,119
Wife ni mama kijacho wa miezi takriban mitatu sasa tumehesabu kuanzia period yake ya mwisho yaani alipoanza tarehe 18 /9/2018 mpk sasa. Hii ni mimba yake ya kwanza, ameenda leo zahanati flan kufanya ultrasound wamemuambia kuwa kanaonekana kwa mbali mno na wakamuuliza hujawahi kutoka damu?? Wakimaanisha pengine ilitoka, hvyo aende baada ya wiki mbili ikiwa hvyo hvyo waitoe, jee hii ni kawaida?? Au wanataka kumpiga ka elfu 20 kake ka kufanya tena ultrasound?? Wataalam nisaidieni.
 
Nimepost wrong jukwaa moods nisaidieni kuiweka jukwaa husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…