Mimi si daktari lakini kulingana na uzoefu, hilo tatizo husababishwa na ukosefu wa vitamin B, ambapo chanzo cha ukosefu huo waweza sababishwa na unywaji wa pombe sana, depression, au magonjwa mengine.
-Kama ni mnywaji wa pombe, kuacha au kupunguza husaidia.
-Tumia dawa za kuongeza vitamin B (Hapa ni vizuri kumuona Daktari)
-Fanya mazoezi kama kukimbia, kuruka kamba n.k
-Shughulikia kama unatatizo linalosababisha depression (mkazo/stress) au muone mtaalam wa hii.
Pia pita hapa kujisomea zaidi
https://www.webmd.com/diabetes/burning-feet-causes-treatments