Msaada wataalamu na wazoefu

ngofoman

Member
Joined
Jan 8, 2023
Posts
53
Reaction score
39
Gari ya petrol imeanza kuwa na tatizo wakati wa kuliwasha. Ninapoliwasha haliwaki mpaka nikanyage mafuta ndio linawaka lakini nikitoa mguu kwenye mafuta linazima haraka sana.

Naomba ushauri maana mafundi wetu wa mtaani wanaweza sema nibadili engine.
 
Check mkaa huenda umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…