chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Utapata ila ambatana na fundi kufanya pre check.Wakuu mm nina pesa zangu za Madafu kama ML 4 hivi natafuta gari ambayo inauwezo wa kutembea umbali mrefu.
Sina uzoefu na magari.
NB. Hataikifika ML 5 sawa tu
Mimi mimesha gundua mafundi wenyewe bomu la nyukilia haaaaahaaaaa!!!!!! Ni pm.Utapata ila ambatana na fundi kufanya pre check.
Hata 3.5 ...3....2.8...yapooo
safi mkuu ila kuna wengine hapo juu wanakatisha watu tamaaUtapata ila ambatana na fundi kufanya pre check.
Hata 3.5 ...3....2.8...yapooo
Kwa hiyo pesa kupata RAUM ni ngumu hata kwa mtu kukuuzia RAUM kwa bei hiyo unatakiwa uingalie sana itakuwa ni jipuThnx hata mtu fresh tuuuuu.
Vp kuhusu Raum?
Ukitaka Raum tafuta mil. 8 aboveDaaaaah sasa Raum kwa mtu nitapata kwa sh ngapi?
Hiyo itakuwa kimeoVITZ MIL 3 KIGOMA