MSAADA: Wataalamu wa masuala ya ushirika

MSAADA: Wataalamu wa masuala ya ushirika

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Bila shaka mpo salama na mnaendelea kufanya miamala kwa njia ya simu ili kujenga taifa letu. Naomba kujua je mkoa unapomegwa na kuunda mkoa mpya,chama cha ushirika (mkoa mama) huwa kinaendelea kufanya kazi katika mkoa mpya?

Kama jibu ni ndio,kwanini? Kama jibu ni hapana vipi kuhusu rasilimali zisizohamishika(mfano nyumba na mashamba)
 
Bila shaka mpo salama na mnaendelea kufanya miamala kwa njia ya simu ili kujenga taifa letu. Naomba kujua je mkoa unapomegwa na kuunda mkoa mpya,chama cha ushirika (mkoa mama) huwa kinaendelea kufanya kazi katika mkoa mpya? kama jibu ni ndio,kwanini? kama jibu ni hapana vipi kuhusu rasilimali zisizohamishika(mfano nyumba na mashamba)
Nyumba na mashamba ni asset, haijalishi viko wapi
 
Back
Top Bottom