badriyah New Member Joined Sep 18, 2022 Posts 2 Reaction score 1 Sep 20, 2022 #1 Jamani naomba msaada. Nyumba ya ukubwa wa meta 10 kwa 10 tofali za msingi nitatumia ngapi na tofali za boma nitatumia ngapi? Na bati ngapi?
Jamani naomba msaada. Nyumba ya ukubwa wa meta 10 kwa 10 tofali za msingi nitatumia ngapi na tofali za boma nitatumia ngapi? Na bati ngapi?