N naro Member Joined Apr 15, 2013 Posts 96 Reaction score 36 Apr 22, 2013 #1 Mwenzenu naomba mnisaidie dawa au jinsi ya kutibu halufu mbaya mdomon,nina mdogo wangu anasumbuliwa sana hilo tatizo kiasi kwamba hata wenzanke wanamnyanyapaa.
Mwenzenu naomba mnisaidie dawa au jinsi ya kutibu halufu mbaya mdomon,nina mdogo wangu anasumbuliwa sana hilo tatizo kiasi kwamba hata wenzanke wanamnyanyapaa.